ZenoPay ni mfumo wa malipo wa kisasa unaotoa suluhisho rahisi na la haraka kwa biashara na wajasiriamali wanaohitaji kupokea malipo kwa urahisi. Hapa chini ni baadhi ya faida na njia za kutumia ZenoPay:
Faida za ZenoPay:
Malipo kwa Kadi na PUSH USSD
ZenoPay inakubali malipo kupitia kadi za...
Kila siku, teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kukua, ndivyo inavyoleta mabadiliko makubwa katika maisha yetu ya kila siku. Watanzania pia wanafaidika na maendeleo haya, ambayo yanabadilisha njia tunavyofanya kazi, kufikiria, na kutatua matatizo.
Moja ya maeneo ambayo AI...
Hizi ni picha mbili zinazoonyesha mazingira yangu ya kufanyia kazi mwaka 2018 na mwaka 2022 , Posts zingine zaidi kuhusu setup yangu ziko kwenye Instagram yangu ambayo natumia username ya iamdastani ,
Login • Instagram
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.