Hii ni video clip ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi wakinyanyaswa na kufungiwa nje kutoingia kwe vipindi almost dailly. Chek jina kwe hyo picha kwa ful video, China is taking Kenya [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] lakn bro ninyi pia c mna mlima wenu, Mt. Kenya ama? So pesa mnazoingia kutoka kwa mt kenya ziko wapi? Coz am sure The Giant Kilimanjaro inaingiza x5 ya Mt. Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah that is posta from faaaar away, now look the whole of nairobi in one pic taken from inside of the city. Yani unaeza panda juu ya gorofa ukapga picha nairobi yote [emoji23][emoji23][emoji23] huwez fanya hvyo kwa dar unless uwe miles away
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakua huna akili ukidhani uchumi unaletwa na ardhi peke ake. Sis hatuna viwanda, vipo but sio vya kutosha so uchumi wetu unatokana na matumizi mazuri ya ardhi etu kwa sana nikimaanisha uzalishaji wa mazao na hayo madin japo sio kwa wingi, hatuna njaa hapa Tz, mazao ya chakula na biashara Tz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.