1.MIKOPO ELIMU YA JUU.
Hivi ni kipi chanzo cha fedha za mikopo zitolewazo kwa wanafunzi wa elimu ya juu?
Kama chanzo chake ni kodi za watanzania ambao kwa ujumla wao wanalipa kodi bila kujali alisoma masomo ya sanaa au masomo ya sayansi au hakusoma kabisa, je haya matabaka masharti wanayoyaweka...
Kabla ya kulichambua suala lolote kwenye siasa ya tanzania, ni vema kuchambua uwezo wa viongozi binafsi bila kujali itikadi zao mana huwezi kupata kiongozi bora kama unachua chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.