Recent content by i9clsfy

  1. i9clsfy

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nb. Samahani ndugu, naomba ushauri wenu hivi ni biashara gani inaweza kuwa imara na soko lenye kuleta faida ,kwa mtaji wa 2million, maana nimekuwa nikiwaza chakufany lakini mengi yanakuja kichwani[emoji847]
  2. i9clsfy

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Mbowe mbona account zako ziko open mzee , hizo zilizofungiwa ni zipi au ndio kuchafua tu uonekane mtu , haya maneno akirudi jamaa utaweza yaongea kweli.
  3. i9clsfy

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya gari ni kubwa kuliko bei ya gari husika kwa hapa kwetu Tanzania?

    Habari wakuu, Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi. Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia tamaa gari lako, hasa (TRA, Motor vihicle Tax)
Back
Top Bottom