Recent content by Huyu bro

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

    Ye mwenyewe ameandika muandiko badala ya mwandiko.
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hii Live Chat mimi na mwanamke ninayemtaka ofisi moja, toeni maoni wazee

    Muandiko ni nini?
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natuhumiwa kutembea na shemeji yangu sasa nimeamua kufanya kweli!

    Kabisa.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Umemaliza Mwaka huu na matokeo yametoka kwenu tu?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kujiendeleza kwa kusoma MD mwakani

    Matokeo ya kwenu yametoka lini?
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah mapenzi, mapenzi, mapenzi.
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Initial "S" Mzumbe.
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mzee kwa hii story bila shaka umenilia demu wangu *****, kila kitu on the line, *** you.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri kwa hili

    Achana na kusoma, una duka la dawa? Pambana kuendeleza duka lako easy tu.
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mapenzi yanaweza kurudia kama zamani baada usaliti (cheating)?

    Mapenzi yanaweza rudi ila heshima haiwezi rudi. Cha kufanya jifanye kama umemsamehe, mpe mapenzi motomoto akijichanganya kurudi kama mwanzo mpige bonge la tukio heavy....then mwambie ni malipo ya kucheat.
  11. H

    JamiiForums Tanzania IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Pole mkuu, system za kiserikali hovyo kabisa.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msadaa kwa hili wadau wa elimu

    TEKU gani yenye Bachelor ya computer science be informed and updated.
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke kakiri anachepuka. Nawaza adhabu ya kumpa ili iwe fundisho kwa wengine

    Usimuache hivi hivi mkuu, mrudishe akupende tena, Fanya jitihada zote arudishe hisia kwako then ndo umuache, ukimuacha wakati hana hisia na wewe hapo ni kazi bure Fanya linalowezekana kurudisha hisia zake then bwaga.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Markerting segmentation

    "Marketing " what a course.
Back
Top Bottom