Habar zenu wanachama wa JF.
Nina habari Nzuri kwa wote wanaohitaji Payroll calculator/ Sheet kwaajili ya kukokotoa mishahara ya wafanya kazi yenye sifa zifuatazo :
1. Iko updated katika PAYE rates, NSSF, PPF, WCF, na SDL
2. Ni rahisi kutumia.
3. Ina uwezo wa kuweka data za wafanya kazi hadi...