Recent content by husseinbrand

  1. husseinbrand

    Msaada wa utengenezaji wa katuni

    Ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812 ili tufanikishe kutengeneza katuni maana kukamilisha animation kuwa mmoja ni kazi sana inabidi kuwa na mwenza wa kutoa mawazo ili kazi iyende sawa ukiwa tayali nicheki
  2. husseinbrand

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Uyo mtu ninani bloo nakila kitu nikipaji ujue kama kipaji una utateseka lakini kwa sisi wenye vipaji tupelekeni kwa uyo mtu aniajiri ili ni mfundishe ata akitaka 2d animation sawa
  3. husseinbrand

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Oya ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812 akili mbili itatufikisha mbali wengine sio wachoraji kikubwa kuwaza je animation tutakazo zitengeneza zitahusu nini
  4. husseinbrand

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    sikia rafiki mi nipo pamoja na wewe kama upo fresh tushilikiane pamoja ili tutimize ndoto maana kukamilisha animation kuwa mmoja kazi ngumu maana mi mwenyewe najalibu ukiwa tayali kushilikiana namimi namba zangu ni 0621575812
  5. husseinbrand

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video na Mbunifu wa Michoro (Video content creator and graphics designer)

    Ikitokea nafasi tena utanishtua namba yangu ni 0621575812 ukipiga sawa ukituma SMS sawa ata whatssap
  6. husseinbrand

    Usimpatie mtu kazi kwa kumuonea huruma

    Oya mi nataka namba yangu whatssap ni 0621575812 ata kupiga kawaida
  7. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Kwaiyo my sister ujaiyona iyo video niliyo kutumia
  8. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Hio apo short video ila ndefu yake imefutika bahati mbaya ambayo naandaa vifaa mbaka namaliza
  9. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Poa bloo nita kulushia uwone lakini natengenezea kwenye simu animation zangu utakubali
  10. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Una mahanisha naweza nikapata mtu wa kunibeba
  11. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Poa bloo lakini naitaji mtu wa kunipush kwani napenda katuni kuwa chezesha
  12. husseinbrand

    Nataka kazi katika kampuni za kutengeneza katuni

    Jamani mimi najua kuchora ila nataka kupata kampuni ya kutengeneza katuni kwani napenda kuchora na kujifunza vingine.
Back
Top Bottom