cuf wa uswahilini, jinsi wanavo mchukulia prof lipumba, kukiwa tu na maridhiyano ya lipumba kubaki na uwenyekiti wa chama, ndio itakuwa mwisho wa cuf uswahilini
kwani kwani makao makuu ya chama ndio mhuri wakuendeshea vikao va chama?
ikumbukwe, mgogoro wa NCCR MAGEUZI wakatiuo wa MREMA VS. MARANDO vikao vilikua vikifanyika TANGA na ZANZIBAR(sio DAR makao makuu) na msajili wa wakati huo alikua akavitambua.
ningekua miye ndio prof, ninge ogopa matokeo yatakayo kuja jiri baada ya kurudishiwa uwenyekiti, sababu inaonyesha wengi wa wafuasi wa CUF hawaja furahishwa kurudishiwa kwake uwenyekiti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.