Recent content by Hus Yus

  1. H

    JamiiForums Nyoka ni muoga na ana aibu sana kuliko unavyomdhania

    Kutana na swila ktk misitu ya kiikweta ngozi yake nyeusi ikiwa inameremeta ndo utaelewa ni kwa kiasi gani nyoka hataki macheko.
  2. H

    JamiiForums Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

    Nisamehe.sijajaliwa kuwa mjuaji na mjasiri wa kwenye mitandao kama wewe.
  3. H

    JamiiForums Wadada mnaotokea Muleba na Karagwe mnakuja kutafuta maisha Dar hebu badilikeni

    Wanyambo nimeishi nao kwa muda mrefu sasa.Siwafahamu kwa sifa hiyo!
  4. H

    JamiiForums Hakuna upendo hapa duniani zaidi ya upendo wa mama kwa mtoto,hakuna cha baba wala nini

    Hongera sana kwa wkt mzuri huo unao upitia na mama yako.bila kuuma maneno naumia sana na natamani nami ningetest utamu wa pendo la mama.Binafsi mama yangu yko hai jpo alitengana na baba nikiwa umri sifuri lkn mama hajawahi kunionesha upendo wwte kila nikikutana naye ni maneno ya kukatisha tamaa...
  5. H

    JamiiForums Kwanini wahaya wanachukiwa? Mpaka zinaletwa report uchwara juu ya Kagera?

    Kwani mkoa wa kagera una makabila mangapi?kwann wahaya ndo wachukiwe km kuchukiwa?jirani yangu ni Mnyambo husema kuwa ngara,karagwe na biharamulo ndo sehemu kubwa ya mkoa hali ya kuwa wakazi wake si wahaya.nikuombe unielimishe ni kwa nini wahaya walio wachache kijografia na kiidadi watajwe zaidi...
  6. H

    JamiiForums Msaada:

    hahah,ok Shukran
  7. H

    JamiiForums Msaada:

    Wanajamii wenzagu habari za wakati huu.kuna habari hii ya kurejeshewa pesa kwa wale waliolipa azam,zuku na dstv kuona channel za ndani,mwenye undani wa hili anisaidie.
  8. H

    JamiiForums Nimeenda ofisi za NHIF kwa ajili ya kujisajili kama mwanachama binafsi nikaambiwa ni milioni 1.5 kwa mwaka. Je, hii ni sawa?

    Hata mi jana nilienda kuprocess bima ya mama nikaelezwa hiyo bei,nilijihisi kunyeshewa maana sikutegemea.
Back
Top Bottom