Recent content by Hurumaeli massawe

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimetimiza miaka 30 ila sina mbele wala nyuma naombeni ushauri

    Njo kuna fundi wa kukurudisha uwe na mbele na nyuma
  2. H

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    kambayA ujue siasa uijui ni njaa inakusumbua propesa naye ajitadhimini upya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    Hivi ni kwanini mpaka sasa lipumba na kambaya wako nje? au wamepewa dhamana? kutumia bastola kwa raia kuifanyia ualifu kama ule ni sawa? msinikumbushe msiba uliyo tokea kwa makamanda wetu je mtatuambia je kama hawa watalaam siyo wanaoteka watu ?!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Hawa ndugu zetu ni kweli wanataka tununue kazi zao hapa tanzania lakini matendo yao wanayo ya fanya jamii nyingi onaogopa kazi zao maana nyingine uwezi kuziangalia maana maadili wajaribu kubadilika waendane na tamaduni zetu na watu waweze kuwamini pia tunayo shuudia kwenye mitandao ya kijamii...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Tushukuru mungu maana kila jambo liko kwa makusudi ya mungu
Back
Top Bottom