Una hoja ya kitoto sana ndugu. Unawezaje kusema ni wezi bila maelezo ya kutosha. Binafsi nimewatumia Kimomwe Motors sana, ingekua ni wezi wasingeweza kusomga mbele kwa kasi ambayo wako nayo.
Hapo kwenye kilomita ndio panaonesha ulivyo sifuri kichwani mwako. Mfano Huyo kimomwe anawezaje...
Acha porojo za vijiweni. Unaibiwaje kila kitu umeambiwa kinafanyika kwa uwazi. We itakua unaathirika na uwepo wa hawa Kimomwe Motors. Huwezi kutumia neno kali kama hilo bila maelezo ya kina kwamba wamekuibia kwenye mazingira hani!
Kwa upande wangu nawatumia sana Kimomwe Motors Limited. Wanakushauri, unapata nafasi kubwa ya kuchagua gari nzuri sababu wana deal na kampuni nyingi za huko nje. Pia itakusaidia kupata gari kwa bei nafuu, dhamana ya pesa yote wanabeba wao na gari ikipata tatizo bandarini au kwenye meli...
Ujumbe huu umenisikitisha kutoka kwa mmoja wa waumini wenzangu ambae anawakilisha mamilioni ya watanzania wengi watakaofungiwa laini zao siku ya 20/01/2020.
My Take:
Kwa kua watakaozimiwa wote ni kwa sababu wamekosa namba za Nida ndani ya muda uliopangwa, ili wawasiliane na ndugu zao...
Waagizaji wa magari wa kitanzania kwa jina Kimomwe Motors, wanapenda kuwakaribisha wastaafu wote kuja kuagiza gari zao kwa gharam nafuu zaidi kwani watapewa punguzo maalumu ili kuwawezesha kumiliki gari wanazopenda
Kwa msaada na maelezo zaidi, piga sim namba 0746267740 au tembelea ofisi zetu...
Inapatikana Jijini Dar es Salaam.
Gari ipo kwenye hali nzuri. Imetunzwa vizuri, imeendeshwa na mwanamke tangu imeingia nchini. Haina tatizo lolote.
Imetembea km 148,000
Bei ni 25,000,000
Kwa mawasiliano piga 0746267740.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.