nashindwa kuthibitisha kwamba huo ni utafiti lakini naomba niuite" fikra zinazojitosheleza" nadhani watanzania specially wanazpi wa outgoing regime wanashindwa kuelewa what it takes kufikia maridhiano, kama wao a single entity wamepitia turmoils nyingi that way, wanategemea itakuwaje kwa four...
kwa uthabiti wa mtiririko huu tutakumbuka tu, naamini tulisahaulishwa yote hayo na thumni za watangaza nia. mungu ajaalie kabla ya tarehe 25 october tuwe tumekumbuka na kama ni kusahau basi tuanze mwezi november.
Tanzania inabahati mbaya sana kuwa na raia kama wewe. pombe mwenyewe anaamini kuwa goli la mkono safari hii zawadi yake ni kadi nyekundu. acha kuwa na fikra za maziwa yaliyochacha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.