Recent content by humud76

  1. humud76

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa wenye maduka ya rejareja

    Bidhaa nyingi hamna vitu vyao nivile vile nahisi anachrzea fursa japokua uwezo wa kudeliver anao mkubwa sana ila bidhaa nichache mno.
  2. humud76

    JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Mm nauliza ndoa ya samaki kwa samaki kuna tatizo?
  3. humud76

    JamiiForums Tanzania Jiajiri kwa kuuza icecream za koni mashuleni

    Binafsi nimevutika ila nahitaji kuona na kutest hiyo cone ubora wake nikivutika nayo aisee nitanunua. Upo wapi na ofisi inafungwa saa ngapi maana pirika zangu nahisi jioni au usiku nina nafasi sijui ofisi ipo wazi muda huo?
  4. humud76

    JamiiForums Tanzania Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

    Meditation ndio nini?
  5. humud76

    JamiiForums Tanzania Mjue Baba Vanga na maajabu ya ajabu

    4599' Binadamu atakua na uwezo wa kuishi bila kufa. 5079,Ulimwengu utafika kikomo. Nani aliyeumba ulimwengu? Kitu sichokufa vipi kitaisha?. Mh!!.
  6. humud76

    JamiiForums Tanzania Mtanzania: Hali si shwari Zanzibar; Pemba yataka uhuru kamili

    Maneno yale ya mwalimu yalikuwa ni mtego kwa wa zanzibari. Mtigo wa kuwatisha wasijekutaka kuomba kujitoa katika huu mungano,ili waogope na kutothubutu kudai kwa nchi yao ya znz. Lakini hebu tufikiri jambo moja kabla ya kuunganishwa nchi hizi mbili hapo awali hiyo inayoitwa Unguja na hiyo...
  7. humud76

    JamiiForums Tanzania Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Helo hiyo username na password nitapataje na hiyo usb dongle inauzwa kwa beigan nahiyo magic sim card
Back
Top Bottom