Recent content by Humphrey Msoka

  1. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wabunge tupiganie kuhusu malipo ya mafao yetu NSSF na PSSF

    Wanasubiri waje wakupe uzeeni ukafie gest na kibint kipya namba D
  2. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Wanaona njia zao za upigaji zinaenda kufa
  3. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Kati ya wafanyabishara na wafanyakazi nani mlipakodi mkubwa tena ambaye siyo msumbufu?

    Kwenye izo tozo za biashara umesahau kuna service levy pia mkuu
  4. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Ivi kaburi lilitengenezwa mda gani maana mi nlishangaa kuona ghafla liko tayari na tiles
  5. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Samia bado ni ya Magufuli: Acheni Kujitoa Ufahamu Ndugu zetu

    Ivi kwani magu alifanya yale yaliokua kwenyw ajenda yake ya uchaguzi???? Au alifanya mengine yasiyoeleweka
  6. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Yajayo yanafurahisha Mpo tayariii?
  7. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Rais Magufuli ni mzima na anachapa kazi. Wanataka atoke, atoke aende wapi? Kariakoo au Magomeni?

    Nani kakuambia yeye ni kipenzi cha watanzania Em acha unafki
  8. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa Mchungaji Godwin Chilewa kuhusu COVID-19: Je, tunamficha nani, kwanini na kwa Faida gani?

    Tusitumie kigezo hicho kuacha kudhibiti maambukizi ya corona kwakuwaambia watu wafanye mazoezi ili corona isiwadhuru sana Sio kila mtu ana uwezo wa kufanya mazoezi kuna watu wengine miili yao hairuhusu kufanya zoezi
  9. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania TABOA yamuomba Rais Magufuli kuingilia kati na kuvunja utaratibu wa kuweka wakala wa kukusanya mapato kwenye ukataji wa tiketi

    Yeah ...kama apo kwenye tanroads na tarura Hadi leo sjajua umuhim wa kuanzisha tarura ilikua n nin
  10. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Afadhali wamenisaidia kuuliza ilo swali maana nmeshajiuliza sana mwenyew bila kupata jibu
  11. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: Nashtakiwa sana kwa Rais Magufuli

    Amna anayempinga mkuu wa mkoa Uyo meya ndio mchaga na HATUMTAKII njoo pasua uulize
  12. Humphrey Msoka

    JamiiForums Tanzania Njia 16 za asili za kuondoa sumu mwilini

    Shukran mkuu
Back
Top Bottom