Recent content by Humphrey Humphrey

  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Mathematics. Pia nina credential za mtu wa masomo ya biashara, case yake ni kama yangu, sifanikiwi kureset password.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    N Nashukuru sana japo hapa pia napata ujumbe "Failed to deliver Email to xxxxxxxxxxxxxxx". Labda ni technical issue kwa upande wa mfumo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Chief tusaidiane uzoefu. Nimehangaika kureset password tangu asubuh bila mafanikio. Napata ujumbe "Failed to reset password".
  4. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Mkuu nimependa umekua muwazi kuhusu chombo, mpaka mambo ya kodi. Mwingine hapo anakuacha ukafe nalo, siku unaenda kufanya transfer ya umiliki ndo unakutana na fine imesimama kwelikweli. Mkuu nimeweka namba yangu hapo juu, au kama hautojali unitumie namba yako kwa namna yoyote ile, mimi...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Mkuu ofa yako ni ngumu kidogo. Guta hili nataka lifanye kazi yakubeba maji tuu.. hivyo hesabu yako itakua inatoka kwenye hesabu yakuosha magari. Hii itaniumiza. Ila kama utanipa kwa "Mkataba" usioumiza nitakubali ofa yako. Baada ya mkataba litanifaa sana. Nakubali kufanya mazungumzo.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Nashukuru kwa encouragement. Nimeshaanda madumu 40 ya lita 20. Nikipata tu usafiri, nitakua nimemaliza kila kitu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Nimechukua namba yako. Nitakupigia.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    1. Pamoja na gharama zote hizi siwezi kuhama kwasababu location ilipo car wash ni location bora kuliko zote kwa eneo hili. Nikipunguza gharama za maji, biashara itanilipa sana. 2. Siwezi kuhama kwasababu mahali nilipo ninatumika ofisi fulani. Labda mpaka mwaka huu uishe.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Ndio maana sikulimit michango kwenye Carry, nimesema Carry au Guta. Thanks for a liltle insight.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Niliwahi kukodi Guta, nikapakia Tank moja nikafata maji. Nilisave 4,500/=, Sio haba ila bado sio Significant kama nikiwa na guta langu. Kwa wastani guta dogo linabeba dumu 30-35. Pia hapo niliendesha guta mwenyewe, nikapakia maji mwenyewe. Akienda mwingine zoezi linacost zaidi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Linahitajika Guta au Suzuki Carry kunusuru biashara yangu

    Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki. Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7. Nikachukua namba za usajili nikaomba Query zakikodi au Customs (If any), huko nikapata namba ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Dodoma mjini. 0716897753 Tatizo ni kwamba nimefika kwenye hatua yakulipia ili ningojee kuja kufungiwa umeme. Natakiwa nipewe reference number, kila siku tangu jumatatu najibiwa mtandao hakuna.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vyumba vinapangishwa Dodoma

    Mkuu fafanua kwenye hili. Nyumba ina/inaweza kubeba wapangaji wangapi? Kuna nyumba moja nilipelekwa area A, lile ni bweni bhana. Lina vyumba 24, 12 vipo kulia, 12 kushoto. Kuna wengine kukaa kwenye watu wengi sana ni mtihani. Namba ya simu ni muhimu.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Tanesco Dodoma siku ya nne leo wateja hatupati huduma, tunajibiwa kua mtandao hakuna? Pengine wawezakutusaidia kinagaubaga. Nini hasa tatizo? Ni kweli kwamba mmeshindwa kufix network issue kwa cku nne zote...!!!?? Au kuna yaliyojificha?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuiona nguvu ya milioni 2 kwenye biashara mpya

    Nilipokujibu mara ya kwanza nilidhani wewe ni mtu mzima. Ila kwa uandishi huu na vicheko hivyo vyakuandika nimepata mashaka makubwa sana. Sawa mkuu, acha sisi wa darasa la saba (kimawazo) tuendelee kushauriana.
Back
Top Bottom