X wangu ni muongeaji sana ni mtu wa kumzoa mtu kwa wepesi sana.
Kuhusu kuishi mimi naishi mbali kidogo na familia yangu ila si unajua tena dunia ni ndogo.
Kwanza Asalaam aleykum, Hongereni kwa Uzima,
Sina haja ya kuongea sana naomba niende kwenye Mada moja kwa moja.
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke fulani lakini kwa bahati nzuri au mbaya tuliachana tukiwa kwenye mahusiano tu ya uchumba.
Mimi nikapata mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.