Ni story nzuri sanaa na ya kishujaa kweli kweli.. inaonesha thamani ya maisha na kutambua thamani ya wengine, inaonesha how ukijitolea kishujaa unavyoacha notable sign ambayo ni legacy isiyoweza sahaulika milele.[emoji1534]
Mzungu kajua kutudumaza kiakili na kutufanya tiamin katka kila anachokiongea ama kukifanya bila kureason.. kitawaliwa kiakili ni worst thing ever katka maisha ya sisi wa afrika tangu 1498 mpka dunia itakapofika mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tatizo si dini hapo ila tatizo ni jinsi wanavyolichukulia tatzo la COVID19, hasa ilikuwa ni kutoa elimu kwa wananch kwa jinsi ya kuuepuka ugonjwa na si kuzuia watu kwenda kwenye maeneo ya ibada. Kwan hakuna jambo gumu kama kukikimbia kitu usichokiona, hivyo swala la corona na imani bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.