Recent content by hulia

  1. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Naomba unijulishe user name zao niwa follow..pls[emoji110]
  2. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Mama mnaa yule jmn afu si aliondoka kwa kina sechaba nn kimemrudisha jamani[emoji5]
  3. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ni kweli kipindi hicho sechaba na lerato walikua kama wameachana flani ivi skhu nae akawa anamnyapia nyapia flani ivi[emoji1] [emoji1]
  4. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Alimla[emoji41][emoji41]maana walikua wote duncani..ila cna hakika kama ile hotel ilikua ni duncani
  5. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Lerato nae alikua mcharuko kweli kuna kaka alikua anadate nae akamtapeli hela zake za salon alizokopa kwa papa g..jina la huyo kaka limenitoka
  6. hulia

    Naona kama EATV na EA radio hazijafanikiwa kutimiza malengo kwa kiasi fulani

    Mwanzoni walianza vpnd vzr kulikua kuna vipindi kama strictly Kenya and strictly Uganda na baadhi ya presents from ug and ke but sikuhizi hawaeleweki wanafanya nini kwa kweli
  7. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ofentse atamyanyasa sechaba balaa fulu madharau afu mama yake ni hypocrite hatari
  8. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ila sechaba ni mbishi sana ana inferiority complex
  9. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Hata mimi nimeumia jmn kama kweli vile
  10. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ofentse atafungwa coz of kumshoot barker ambayo barker atakua ameplan kufake his death..na atakufa kweli kwny isidingo cyo real death
  11. hulia

    "Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

    Kuna vitu cwezi kumuazima mtu,laptop,camera ivi navichukualia kama simu ya mkononi unaazimaje kwa mfano maan kunakua na vitu vyangu personal..gari pia siazimi kwa kweli niliwahi kumuazima mtu gari ipo full tank karudisha mshale wa mafuta upo chini kabisa gari chafu na holder ya funguo...
  12. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Ndo mwanzo wa kufilisika kwa Gabriel ataishi maisha ya shida sana
  13. hulia

    Dar: Chatu atikisa mitaa ya Sinza Kamanyola, wananchi wahofia maisha yao

    Hapa kila mtu atakua mwanaume wa mkoani[emoji16][emoji16]
  14. hulia

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Alijiona kidume kumfanyia mwenzie coup de tat..what goes around always comes around[emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom