Recent content by hukumundo

  1. H

    Trump amtaka Biden ajiuzulu kwa kuruhusu Taliban kuteka Afghanistan

    What is your evidence? Makubaliano ya kuondoa majeshi Afghanistan yalifikiwa na Trump. Na ilitakiwa waondoke mapema zaidi kuliko alivyofanya Biden. Afghanistan was a double-edged sword. Damn if you withdrew and damn if you didn't.
  2. H

    Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

    Ni hatari sana kusapoti kwa sababu ya suala moja tu. Mtu akikulipia ada na mengi ili akubake kila siku, yumkini hutasema kwamba ni mtu mzuri kwa sababu tu anakulipia ada. Watu zaidi ya laki sita wamekufa kwa uzembe wa mtu anayejidai hasapoti ushoga. Mtu aliyekuwa tayari kuvunja katiba ili mradi...
  3. H

    Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

    You see, kuna watu wanampenda Trump, kufa! Huwezi kuwaambia kitu chochote wakakubali kwamba Trump kakosea. Walimpigia kura kwa rekodi. Kwa upande mwingine angalia kura walizompigia Biden. Nazo zilivunja rekodi zote. Kwa nini? Kwa sababu kuna watu wengi zaidi ambao hawakufurahishwa na miaka minne...
  4. H

    Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Yeah, ni kawaida. Popote duniani, kichaa mwenye vurugu lazima atawatesa watu na wala si kipimo cha kukubalika kwake au ubora wake.
  5. H

    Can Donald Trump be prosecuted /accused of Incitement of attempted "Coup"?

    Very elementary logic, my friend. Kesi zaidi ya 60 katika mahakama mbalimbali ikiwepo Mahakama Kuu iliyokuwa na watu wake. Wote wamesema hakuna ushahidi. ZOTE! And then, yule mama Powell, mwanasheria kwenye timu ya Trump alidai hadharani kwamba Hugo Chavez wa Venezuela alihusika katika wizi...
  6. H

    Kwanini Trump alipokuwa madarakani kulikuwa hamna vita na violence?

    Si kweli kwamba hapakuwa na vita au umesahau 1. Syria 2. Uturuki ilivyoshambulia Syria 3. Marekani ilivyowatungua Waajemi Ushabiki !!!!
  7. H

    Israel ni taifa linalopenda vita na visasi. Inakuwaje liwe taifa takatifu? Taifa Teule?

    Kumradhi, lakini aliyeleta mada hakutaja mataifa au dini yoyote nyingine. Alichosema ni kuhusu Israel tu? Hayo mengine ya ISIS au Saudi Arabia yanakujaje?
  8. H

    Trump aliwalea madikteta wa Afrika, kung'oka kwake ni pigo kwao. Sasa wataanza kushughulikiwa bila huruma

    Kwa nini tutarajie Marekani ndiyo awe polisi wa dunia? Trump hakujishughulisha na Afrika kwa kujua chochote. Hajui lolote kuhusu Afrika. Wote waliomfuatilia toka zamani wanajua kwamba ana uelewe finyu sana wa dunia. Nilisema hata huko nyuma wakati amachaguliwa mara ya kwanza, wakati watu...
  9. H

    The US Supreme court Rejects Pro-Trump Lawmaker’s Bid to Overturn the Pa. Election and Doesn’t Bother to Comment

    Why is it that the racist Proud Boys are the champions of the Trump victory story? Why is it that Trump's veiled racist pronouncements always find resonance among racists?
  10. H

    The US Supreme court Rejects Pro-Trump Lawmaker’s Bid to Overturn the Pa. Election and Doesn’t Bother to Comment

    The Texas thing was the most ridiculous preposterous farrago. How can one state interfere in the laws and elections of another. Did you see what the Supreme Court did to that? Friend, the election was fair. Face it.
  11. H

    The US Supreme court Rejects Pro-Trump Lawmaker’s Bid to Overturn the Pa. Election and Doesn’t Bother to Comment

    There is a big problem in this election controversy. The diagnosis is here: A wise man once said: "If you are emotionally attached to your tribe, religion or political leaning to the point that truth and justice become secondary considerations, your education is useless. Your exposure is...
  12. H

    Trump azuia maafisa wake kushirikiana na Joe Biden

    Kuna kipindi cha mpita ambapo raisi anayeondoka anatakiwa kumkabidhi mikoba raisi mpya. Viongozi wa idara hizo ni watu wanaoteuliwa na raisi mwenyewe. Ametoa maagizo huko kwamba hakuna kuwasaidia, hakuna kuwapa funguo za majengo, nk. La ulinzi ni tofauti kidogo.
  13. H

    Kwaheri rais Donald Trump

    Na Yesu huyo huyo alisema: Si waniambiao "Bwana Bwana" ndiyo watakoingia katika ufalme wa Mungu. Ndiyo kusema matendo yako ndiyo yanayoonesha umemkubali Yesu kiasi gani. La sivyo inakuwa ni kama yale makaburi yaliyopakwa chokaa. Unakumbuka? Mtu akikuambia amempokea na kumkubali Yesu halafu...
Back
Top Bottom