Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,718
- 20,528
Mag,umeisoma hiyo legislation au umekurupuka tu.Mgombea urais yeyote anaweza kutumia provisions za hiyo legislation, including funds,kama tu imeonekana kwamba ni clear winner.Kwa case ya uchaguzi wa Marekani mwaka huu,hakuna clear winner so far, kwa kuwa case ziko mahakamani,kwa hiyo Biden is going against the legislation.Acha ku-force mambo.Kinacho onekana kwa Biden team ni mchecheto tu.Unaongelea Marekani au unaongelea Tanzania? You are so dumb dude! Je unaijua Presidential Transition Act of 1963 na masharti yake na inaanza kutumika lini?