Ndio maana ili uwe SISIEMU lazima ukizi kigezo cha kukosa ufahamu wa mambo. Kwa mjibu wa katiba chama tawala ndio kina mamlaka kisheria ya kukusanya kodi kutoka kwa wananchi na kuzitumia kwa manufaa ya wananchi. Mkusanyaji wa pesa za wananchi ndani ya halmashauri kwa niaba ya serikali iliyoko...
Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki...
ukiona mtu anakufanyia ujinga na ukamjibibu wa ujinga na wewe ni mjinga. Mimi ninafikili CHADEMA wakinza kufanya kama CCM kwenye chaguzi,wananchi watashindwa kutambua mjinga na mwerevu. Viongozi wa CHADEMA wako sawa kwa kuamua kuongozwa na busara. Na hiyo ndio tofaututi ya busara na ujinga
Hata sera ya CHEYO ya kujaza watu mapesa ni nzuri kwa maana inatafsiri watanzania kuwa matajili kwa maana ya watanzania kunufaika na utajili wa nchi yao kuliko ya CCM kwa maana ya kusikia mara ESCROW, MARA KAGODA, MARA TILION 1.5 HAZIONEKANI,MARA NITAWAFANYA WATANZANIA WAISHI KAMA MASHETANI...
Sasa wewe jipime sasa hivi kama CCM. Moja CHADEMA inafanya vizuri mbele ya wananchi na ndio maana CCM wanakosa usingizi. Mfano unasema nitatoa laptop kwa kila mwalimu kumbe ni hewa. Nitawapa kila kitongoji 50,000.000/ milioni hamsini kumbe hewa.Baada ya kupewa kula unasema nitawafanya watanzania...
Wajinga ni wale waliowachoma watanzania kisu alafu wakakichomoa na kuanza kuwacheka. CCM na wabunge wake walitunga sheria mbovu kwa hati ya dharula iliyoruhususu utengenezaji wa mikataba mibovu iliyotufikisha kuibiwa madini. kwa hili waliwachoma watanzania kisu. Pili CCM imezuia makinikia...
Mkaguzi wa hesabu za serikali aliuliza kwamba tilioni moja pointi tano iko wapi.? Walioulizwa swali hili ni CCM na serikali yake na si mbowe au CHADEMA. Mambo haya yatakoma endapo chama anachokisimamia MBOWE kitaongoza nchi. Hivyo watanzania watakuwa matajili kwa sababu hawatanyonywa na...
Ukiongeaa kushangaa ni pale ambapo tunauliza kwamba tilioni moja point tano [1.5tillion] ziko wapi? Haya mambo ndiyo yanayosababisha tuwe maskini . Hivyo mbowe anaombe CHADEMA iongoze ili yakome na wananchi wawe matajili
Nimegundua kwamba kwamba ubora wa MBOWE mbele ya watanzania ni kikwazo kikubwa kwa wanaccm. Ninasema hivyo kwa sababu ubora wa siasa unajengwa na ubaya wa ccm ulijengwa na wanaccm wenyewe siyo mbowe. Mbowe kaongea jambo jema tu kwamba angefurai sana kumwona kila mtu akiwa tajili iwapo CHADEMA...
hapa lisu alikuwa sahihi katika mazingira ya aina mbili.
1).Lisu alisema kwamba tayari serikali ya CCM ilishaingia mikataba mibovu lakini halali kisheria, basi ni wajibu wetu kama taifa kuirekebisha kwa maridhiano na pande mbili za mkataba. Lakini kinyume na hapo tutashitakiwa na kuliingiza...
Huyu jamaa nimemkubali kwa kuwa na ndoto ya kuwafanya watanzania wawe matajiri. Ninasema hivyo kwa sababu ku watu kutoka kwenye vichakawnasema kwamba wanataka watanzania waishi kama mashetani kuliko kuis kuishi kama malaika. Hao sikubaliani nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.