Hivi kati ya CCM na CHADEMA nani walaghai kwa taifa hili?

Siasa siku zote ina sura mbili... sura halisi na sura ya kinafiki...

Hata wapinzani wakishika dola, badala ya kuleta maendelea wataanza kufanya malipizi kwanza kwa yote waliyokua wanafanyiwa na kusahahu kilichowaweka pale...


Cc: mahondaw
 
Chadema wanawalaghai watanzania eti wanaweza kuongoza nchi kitu ambacho ni uongo kabisa. Kazi kuu ya Chadema na wapinzani wengine ni kuifanya CCM isilale usingizi na si kushika Dola. Ndio sababu wanashiriki chaguzi ndogo wakijua hawashindi,
Sasa wewe jipime sasa hivi kama CCM. Moja CHADEMA inafanya vizuri mbele ya wananchi na ndio maana CCM wanakosa usingizi. Mfano unasema nitatoa laptop kwa kila mwalimu kumbe ni hewa. Nitawapa kila kitongoji 50,000.000/ milioni hamsini kumbe hewa.Baada ya kupewa kula unasema nitawafanya watanzania wanaoishi kama malaika waishi kama shetani.Pili nitapoteza hela mpaka jero mui ite mia tano. Tatu unaulizwa kwamba tilioni moja pointi tano za watanzania umezipotezea wapi huna majibu.Nne unakwapua hela za wakulima wa korosho na unasema nitawapiga mashangazi endapo wakioji hela zao.HUO NDIO BAADHI YA ULAGHAI WA CCM. SASA JAMAA YANGU NA HAYA HUYAONI?
 
Nimeishia hapo kazi yako kutafakari nani mlaghai wa nchi hii ni yule anayeongoza au ambae hajawahi kupata ridhaa ya kuongoza kazi kwenu.
Kanjanja wewe ukipewa vijisenti unafungua threa kama bomba liliopasuka
Chadema wanawaaminisha watanzania kuwa wanapigania demokrasia wakati ndani ya chama chenu mmebadili katiba kinyemela ili sultani Mbowe atawale milele na kila anayejaribu kugombea uenyekiti anajuta kuzaliwa
 
Chadema ndiyo waongo kuliko wote duniani.. waliwaaminisha Lowassa ni fisadi papa mpaka wakakufuru kwa Mungu lakini baadae wakamuomba aje kugombea Urais kupitia Chadema na wakamsafisha kwa mapovu ya Omo hadi wakaondoa orodha ya mafisadi kwenye tovuti yao. Umeona uongo wao eeeh!!
Hili jambo chadema watalijutia daima.
 
Back
Top Bottom