Kua na tembea ujionee mengi ya Dunia kwa ulivyotiririka hapo inaonyesha wazi kwamba kwanza ni mdogo kiumri na pili hujatembea kwenye jamii mbalimbali.
Onyo
Hii mentality yako iishie humu humu kwenye mitandao mana ukiipeleka mtaani watakutest na cha 150 tu, ukaiaga dunia kabisa.
Je, unahitaji kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wako?
Nikaribishe nikuhudumie.
Fani: Mwalim (Bachelor of education in science)
Masomo ya kufundishia: Biology & Geography.
Chuo: Mwenge Catholic University (MWECAU) MOSHI KILIMANJARO.
Mwaka wa kuhitimu chuo: 2017.
Uzoefu wa kazi: miaka 5, kwa...
Kwa wenyeji wa Arusha na Moshi natafuta frem iliyokaa mahar pazur kwa ajil ya biashara ya nguo za mtumba pamoja na viatu yeyote mwenye access nayo ani pm wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.