Recent content by hp4510

 1. hp4510

  Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesom'

  Me sidhani kama miaka hiyo walikuwa wanahesabu kama sisi now hahaha usikute hao 1000 ni kama 20 kwa sasa, Ni kama ile miaka 40 wana wa Israel, hivi ni kweli ile miaka ni Kama ya sasa ya siku 360
 2. hp4510

  Momba: Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbunge wa Tunduma kwa kinachodaiwa kuwepo na taarifa za kiintelijensia za uvunjifu wa amani

  Hii intelegensia iko active kwenye mikutano ya upinzani tu? Sijawahi kusikia wakosema hivyo kwenye mikutano ya ccm
 3. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  Kwani Mbowe alikuwa peke yake? Sema chadema wote walifanya upumbavu
 4. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  Ulikuwa kwenye kamati ya uchaguzi ya chadema? If not kaa kimya tu
 5. hp4510

  Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

  Kazi yenu ni kupiga kelele tu za mtu ajiuzulu! Why ajiuzulu? Kwani anajichagua mwenyewe? Kama anachaguliwa means wanachama ambao wanachangia chama wanamkubali Ww umekaa zako na familia yako umeshakula umeshiba hutoi hata mia kwenye chama, kazi ni kutoa maoni tu nani aingie nani atoke!
 6. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  Unabishana nonceses hatuko Facebook hapa
 7. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  My point ni kuwa lowasa alikuwa na wafuasi wake wengi tu ambao baada ya yy kuhama wakamfuata huko alikoenda na hao wafuasi wake ndio walifanya chadema ipate kura nyingi 2015
 8. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  Na wewe utakuwa ni mgeni wa siasa za Tanzania Kuna Mtanzania anachagua mgombea kwa sera zake? Watu wako chadema sio kwa sera ni kwa sababu hawapendi CCM, na watu wao CCM kwa vile hawapendi upinzani, Mtu anasema tu me namchagua magufuli muulize CCM ina sera gani ya uchumi hajui.
 9. hp4510

  News Alert: Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

  feyzal, Wabunge wengi mliokua nao leo ni kwa ajili ya Lowasa.
 10. hp4510

  Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

  Tuache kujitia upofu jaman, ukawa bila nguvu ya lowasa kuwa chadema it was nothing huo ndio ukweli Yule mzee apewe credit zake, hakuna mwananchi Tanzania anapiga kura kwa sera za chama, wengi wanapiga kura kwa uoga wa future yao au kwa ajili ya mgombea tu
 11. hp4510

  Audio: Matapeli wa Mtandao

  Inabidi mtu uwe very active kiakili bila hivyo aaah unapigwa
 12. hp4510

  Audio: Matapeli wa Mtandao

  😂 😂 Akili za kimjini zilikutana
 13. hp4510

  Audio: Matapeli wa Mtandao

  Ila jamaa wanajua system vibaya mno hiyo njia nyingine ya kutuma ela kama unalipia bidhaa nilikuwa sijui kabisa
Top