Bandugu! inabidi tuwe na upembuzi wa haraka kuhusiana na lengo la Mh, Zitto na tafsiri zilizotolewa na Mh, Makamba.
Kwanza ieleweke wazi kuwa Wote walitambua uwepo wa Kanuni husika ila kinachoendelea kwa sasa ni mkakati wa CCM kuwapumbaza wananchi kwani hatua ya kuitisha kikao cha wabunge wa...
Tunatakiwa kuzitafakali kwa kina kauli za viongozi wetu hawa ambao tunaimani kila mmoja ana mchango madhubuti juu ya taifa letu kwa sasa. Inaelekea Mh, Zitto na Mzee Mtei wanamapambano ya kila mmoja kutetea kile anachokiamini baada ya kila mmoja kutambua dhamira ya mwingine ndani ya CDM kiasi...
Dini ya kwanza ni imani katika nafsi. Kushika Quaran au Biblia ni Mbwembwe tu kwani tumeshuhudia waliozibeba kwa unyenyekevu katika viapo lakini wakatukaanga. Isitoshe Prof. haendi kunadi dini bali kutafuta mustakabali wa nchi kwa kupima utayari wa nafsi yake kuwatumikia watanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.