Recent content by houstony

  1. houstony

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  2. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Ok , 👍👍
  3. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Hii ni moja ya plan zangu nikishapata mtaji
  4. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Nimeshaliona, nimeapply
  5. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Shukran sana kwa muongozo huu
  6. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Ok shukran kwa ushauli,
  7. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Habari ndungu zangu Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
  8. houstony

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    watu type ka izi ndo zinatukoseshaga kiongoz bora t-shirt na kofia tu anatoa kura bila kutafakar sera..!!
  9. houstony

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu

    daaah kaz ipo aisee
  10. houstony

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 16,000 hatarini kukosa mikopo ya elimu ya juu

    :) dah ni kwel ndug:mad:
Back
Top Bottom