Recent content by Hotwater

  1. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Asante, nimeijarib inakataa. Let me try again
  2. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Skrill ndo unafanyaje?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Drill ndo unafanyaje?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Sales freelancers wanahitajika haraka

    Aaah aah ahh!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Kaka habar, nimekwama aisee kukamilisha profile yangu kwenye freelancer! Msaada plz....najaza nini pale kwenye about lakin pia naomba muongozo pale kwenye payments kwenye cardholder name najaza nini na hata card ID ndo namba ya benk au? Plz nimeshindwa kubid kisa sijamaliza profile.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Umeona eee! Wanabana sana
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Sorry, nimeingia kwenye freelancer tatizo ni hili; nikibid wananirudisha nyuma kuwa bado nikamilishe plofile then nikiweka picha naambiwa haifiti hafu lingine kuna sehem kuna neno about so nimepewe niandike sth pameandikwa neno "edit summary" chini yake kuna 1000 ukiandika sth maneno...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Vip kaka hiyo unayoisemea ikoje!!!?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Tatizo sio kwa kuwa ni mtanzania....tatizo watz hatupendani! Utakuta huko wanaminya saaana bhana!!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Asante sana kaka naomba uzid kunisaidia nikikutag plz.....bado nakuhitaji sana katika hili na Mungu akubariki sana.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    So skills unajaza mwenyewe na unaweza jaza zaid ya moja?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Dah! napenda sana kujishughulisha na kuwa bize nadhan nitaziweza hiz kaz.....plz nimekuuliza namna ya kubid na kucontext kwenye freelancer na pia kutambua thaman ya shilling ktk mataifa mengine na pia namna ya kudroo kihela nitajachokuwa napata!! plz help!! ww umeniinspire sana and you're my...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Asanteni sana kwa ukarim....naomba nipate kujua namna ya kubid kwenye freelancer plz na namna ya kudroo kihela nitakachokuwa napata hata kama ni 5000 nijue inanifikiaje plzzzz
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sales freelancers wanahitajika haraka

    Tunashukuru kwa fursa!!
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi za maombi, fursa za kibiashara Dar es salaam online business opportunity

    kama niko vizur na nahitaji kaz hiyo nitafanyaje? hakuna nafasi ninayoweza kufiti?
Back
Top Bottom