Recent content by Hottyberry

  1. H

    Tatizo la CRDB Simbanking

    Mzee mm naona Simbanking Ni huduma nzuri Na inarahisisha sana utumaji wa hela, ilisha wahi kunitokea Mara moja sikupata ela Ila baada ya muda niliipata mm nachukulia hamna kitu kizuri kisichokuwa Na challenge zake tujivunie vya kwetu Na tuwape muda wa kuiboresha zaidi Na zaidi huduma hiyo...
  2. H

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Benki ya CRDB kwa kweli imechangia sana kuboresha maisha ya watanzania kupitia mikopo ukizingatia ni benki pekee inayokopesha wakulima wa pamba kanda ya ziwa na tumbaku huko Tabora. Ikifa maeneo hayo ndio umaskini utaongezeka sana maana benki za wazungu kama NMB hawakopeshi maeneo hatarishi kama...
  3. H

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Hivi NMB hakuuzwa kwa wajerumani kweli? Nauliza tu jamani mwenye taarifa sahihi atujuze
  4. H

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    mim nadhani zinge tumika fikra yakinifu katika upembuzi wa swala Hili nyeti la kibenki kma tunavyojua benki industry ndio kila kitu katika Maisha ya watanzania Na wafanyabiashara kwa ujumla katika kukuza uchumi wa nchi kuangalia dividend pekeake Ni pointi zaifu sanaa kwani NMB pekeake haiwezi...
  5. H

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Yaani mambo ya monopoly tulishaachana nayo naona ndo mnapotaka turudi Tena, anyway wamepata muigizaji mzuri watangazo Lao.
  6. H

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Ni kweli kabisa yaani hiyo nikama katika familia baba kumpendelea mtoto mmoja Na kuwaacha wengine hiyo kitu ina demoralize sana uchumi wa nchi Na ukizingatia benki Zinachangia kwa kiasi kikubwa kwenye ajira Za watanzania.
Back
Top Bottom