Recent content by hotstoryg

  1. H

    KWA BIASHARA YA TIPPER TRUCKS (KUBEBA MCHANGA NA VIFUSI , KATI YA FAW NA HOWO IPI NI GARI BORA KWA MFANYABIASHARA MPYA ANAYETAKA KUANZA HIYO BIASHARA

    Habari wadau? Naomba ushauri kwa wale wenye ufahamu n uzoefu wa hii biashara ya ma-tipper kati ya Howo na Faw zote zikiwa mpya 0km ni ipi bora kuanza nayo kwa mfanyabiashara mpya na ipi pia ukitaka kuuza baada ya kuitumia kwa mwaka mmoja au miwili inakuwa na demand kubwa toka kwa wanunuzi?
  2. H

    KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  3. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    Hivi unaelewa kazi ya TBS nafikili tatizo huna exposure ndg ndio maana unaongea hivyo. Ni wajibu wa serikali kuwalinda raia zake na bidhaa feki na TBS ndio shirika linalosimamia ubora wa products mbali mbali.
  4. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    Mkuu watanzania wengi wakishasimia vitu vinetoka uingereza basi wanapapatika bila kuelewa... yaani ukiongea kutetea kama hivi wanakushambulia sana. Hii imempa jamaa chriss lukosi kiburi kupita kiasi hadi anafikia kuwadhiaki wateja wake kwa maneno ya kejeli sana. Wakati wapo watu wengine wanatoa...
  5. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    TRA iangalie udsnganyifu wanaofanya wa kuandika recept ambayo wanashusha bei halisi ya pesa iliyolipwa na mteja na mm ni muhanga wa hilo mkuu
  6. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    Issue ni ubora kwani wanagoma kurudishiwa huku wakijua wanafanya biashara kihuni
  7. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    Hivyo ndio vipo wameuza jana. Ndio maana unaona na namba yao wanayotumia kutangaza
  8. H

    TBS na TRA mpo wapi kuwakinga Watanzania na hii kampuni ya KC Global Link?

    Hii kampuni imekuwa ikiingiza mizigo/makinikia toka UK, cha ajabu vitu wanavyoviingiza kama used ni vibovu sana na asilimia 60 vinakuwa huwezi kuvitumia mpaka uwatafute mafundi huku yeye akiendelea kunadisha mnada ambao unafanyikaga online kila wiki na ofisini kwao mikocheni nyuma ya clouds...
  9. H

    Mkurugenzi Gaming Board atabadilishwa lini?

    Tangia mwwka 1996 Mkurugenzi wa gaming board Mr. Abbas Tarimba ni huyo huyo je ni kwanba hakuna watanzania wengine wenye sifa ya kuwa Wakurugenzi! Mbaya zaidi Makampuni ya casino yanaleta wafanyakazi kutoka nje na kulipwa mishahara mikubwa kuliko wazawa kwa kazi ambazo wazawa wanaweza kuzifanya...
  10. H

    Mkurugenzi gaming board atabadilishwa lini?

    Kwa kweli tangia board ya michezo ya bahati nasibu inaanzishwa, Mkurugenzi ni huyo huyo Abbas Tarimba! Je, ni kweli ndio mtu pekee kati ya Watanzania wote ndio anaweza kusimamia Gaming Board? Je, unyonyaji mkubwa unaofanywa na wamiliki wa casino kwa Watanzania kwa kutowapa mikataba wafanyakazi...
  11. H

    Natoa msisitizo, UKAWA yapoteza ngome yake muhimu Arusha

    Mtoa mada unajitekenya na kucheka mwenyewe... Angalia wingi wa watu hawa wa ukwa alafu linganisha na wa ccm.
  12. H

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Sasa kama unabishana na ukweli subiri taarifa ya habari, si hilo tu na boss wenu Nape nae kapigwa chini kura za maoni.
  13. H

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Jerry Slaa aliyekuwa anagombea ubunge jimbo la ukonga ktk matokeo ya kura za maoni jimboni ukonga ameshindwa ktk kula za maoni ukonga kwa kura zaidi ya 4,000 na mpinzania wake mwenye asili ya kiasia aliyepata kura 5139 na jerry kupata 1034
  14. H

    Katiba Inayopendekezwa si ya CCM

    Ni ya CCM na ndio wao walioipitisha bungeni na mamruki wao waliochaguliwa na Mwenyekiti wao.
Back
Top Bottom