Recent content by Hot Lady

  1. Hot Lady

    Tetesi: Polepole asema CHADEMA ruksa kutumia Dodoma Convention Centre

    Likiwezekana hili la kufanya mkutano litawezekana pia CCM kuwapangisha CHADEMA kwenye jengo lao la Makao Makuu pale Dodoma.
  2. Hot Lady

    Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Hahahahahaaaaaaaa! Hapo umenena Brother
  3. Hot Lady

    Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Sasa kama amezaa na kimada wake unataka awe ni miongoni mwa watoto aliozaa na mama Regina? Haiwezekani
  4. Hot Lady

    Mbowe ana majina yake Mfukoni Ubunge wa Afrika ya Mashariki

    Kwa kweli huu ni ubakaji ulio wa dhahiri. Yaani demokrasia inabakwa hivi hivi na watu wanaiangalia tu
  5. Hot Lady

    Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Sasa tuambie huyo mtoto ni wa nani kama si wa Lowasa
  6. Hot Lady

    Huyu Godfrey Ngoyai Lowassa ni kijana wa Edward Ngoyai Lowassa?

    Hahahahahaaaaaaa. Lowasa kwishneyyyyy
  7. Hot Lady

    Bunge lisitumike kuzima mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya kama lilivyozima Operesheni Tokomeza

    Kila zama na namna yake ya kudeal na mambo. Naamini Serikali ya awamu hii ni fumua fumua
  8. Hot Lady

    Bunge lisitumike kuzima mapambano dhidi ya Madawa ya kulevya kama lilivyozima Operesheni Tokomeza

    Kama Mungu angekuwa anabandika sura za wanaume wote tuliotembea nao, naamini kuwa Wema Sepetu asingekuwa na hata kidoti kwenye mwili wake kisicho na picha ya mwanaume. Bora niliamua kuolewa mapema ijapokuwa ndoa ina mitihani yake kuliko haya maisha ya Wema Sepetu
  9. Hot Lady

    CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Cha muhimu hapa ni kuelewa nini ameandika. Hilo la wapi anatoka hakika halina tija kwa sasa
  10. Hot Lady

    CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Aiseeeeeeee! Yaani nimemaliza kusoma uzi huu mpaka nywele zimenisisimka. Nimetokwa na jasho mpaka katikati ya mapaja yangu
  11. Hot Lady

    TAHARIRI: Miili Iliyopatikana Ruvu Ifukuliwe; Ben Saanane apatikane - Ni Utu Huu!

    Tunasubiri Mbowe arjee toka Ulaya atuambie alipo Ben Saanane
Back
Top Bottom