Recent content by Hospitali ya Taifa Muhimbili

  1. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Responded Ufafanuzi kuhusu: Upatikanaji wa Dawa ya Trastuzumab kwa Wagonjwa wa Saratani

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kutokuwepo kwa dawa ya Trastuzumab, inayotumika katika matibabu ya baadhi ya wagonjwa wa saratani. MNH inapenda kuufahamisha umma, wagonjwa na wadau wote kuwa dawa ya Trastuzumab...
  2. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwezi wa pili sasa Mama amekosa Dawa ya Saratani (IV TRASTUZUMAB 440mg) Muhimbili Upanga

    UFAFANUZI KUHUSU: UPATIKANAJI WA DAWA YA TRASTUZUMAB KWA WAGONJWA WA SARATANI Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikieleza malalamiko ya mdau kuhusu ukosefu wa dawa ya Trastuzumab kwa ajili ya matibabu ya saratani. Hospitali inapenda...
  3. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Upandikizaji wa Vifaa vya Kusikia Muhimbili Yabadilisha Maisha ya Watoto 115

    Watoto 115 wamefanyiwa upandikizaji wa vifaa vya kusaidia kusikia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, hatua kubwa kwa Tanzania kwani awali watoto wenye uhitaji wa huduma hii walilazimika kupelekwa nje ya nchi. Sasa huduma hii inapatikana hapa nchini, ikitoa matumaini mapya kwa watoto na familia...
  4. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Idara ya Radiology – Muhimbili Hospital hatulipwi malipo ya muda wa ziada, kwanini sisi tu?

    Mchakato wa kulipwa malipo ya ziada kwa Watumishi wa Idara ya Radiology si kwamba wao ni idara pekee ambao hawajalipwa au hawalipwi extra duty, bali kulishafanyika makubaliano kuwa hakutakuwa na malipo hayo na siyo Idara yao pekee. Kutokana na formula ambayo Radiology waliwekewa huko nyuma...
  5. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Asante kwa kutembelea ukurasa wa Muhimbili. Tafadhali tupigie +255 790 312 335
  6. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Daktari Bingwa wa kwanza wa Mfumo wa Chakula na Ini kwa Watoto

    Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt. Livin Peter Mumburi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufanikiwa kuwa daktari bingwa wa magonjwa wa mfumo wa chakula na ini kwa watoto, baada ya kuhitimu mafunzo maalum nchini Afrika Kusini. Dkt. Mumburi anakuwa daktari...
  7. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kifafa cha mimba: Dalili hatari inayoweza kuondoa uhai wa mjamzito

    Je, wajua kuwa kifafa cha mimba ni hali hatarishi inayoweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto ikiwa haitapatiwa matibabu kwa wakati? Dkt. Jofrey Marandu, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, anaeleza kwa kina nini cha kufanya pale mjamzito...
  8. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto. Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
  9. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Muhimbili mpya siyo mradi wa afya tu, ni uwekezaji wa kimkakati

    Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi wa huduma za afya. Akizungumza leo bungeni Dodoma wakati wa kuwasilisha bajeti ya...
  10. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Muhimbili mpya siyo mradi wa afya tu, ni uwekezaji wa kimkakati

    WAZIRI MCHENGERWA: MUHIMBILI MPYA SIYO MRADI WA AFYA TU, NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa kimkakati wenye maslahi mapana ya kitaifa na kimataifa katika sekta ya tiba, elimu, utafiti na uchumi...
  11. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Muhimbili yabeba jukumu la matibabu ya Dismas Jackson

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imeendelea kuwafikia watu mbalimbali wasiokuwa na uwezo ili kuwapatia huduma za matibabu, ikiwa ni kutimiza azma ya Mheshimiwa Rais katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ya kuhakikisha huduma za afya zinakuwa jumuishi, bora na zinazoweza kufikiwa na kila mwananchi...
  12. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) - Karibu utupatie maoni, ushauri au kutoa dukuduku

    Habari mwanajukwaa wa JamiiForums, Hii ni akaunti yetu rasmi ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambapo kupitia uzi huu, tunakukaribisha kupata taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu, kuuliza maswali, na kushirikiana nasi katika kuboresha utoaji wa huduma za afya kwa manufaa ya wote...
  13. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhangaika kwa miaka 10, Hussein Ayubu atoa ushuhuda alivyotibiwa Muhimbili

    Baada ya kuhangaika kwa miaka 10 katika hospitali mbalimbali bila mafanikio, Hussein Ayubu shuhuda aliyetibiwa na kupona Muhimbili (MNH) anasimulia namna alivyokua na shaka kutokana na maneno ya watu juu ya huduma katika hospitali za umma. Baada ya huduma bora za kibobezi alizopokea MNH...
Back
Top Bottom