ogopa sana kuongozwa na hisia , sio Tz tu imetoa bandari kuongozwa na watu wengine zipo nyingi tu na maisha yanaenda. zile kelele za wachumia tumbo kina Dr slaa na wenzake zinakuchanganya
hapo mtoa uzi kazungumzia wakati wa sasa na ule uliopita na kulinganisha mazuri na mabovu yote lakini kaona kwa sasa utendaji wetu wa bandari ni wa kuungwa mkono na kupongezwa kwa juhud hizi zinazoendelea kuoneshwa
Hakika ndugu mtoa uzi umeandika vizuri sana na hizi zote ni juhud za Rais Samia na zinapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania japo wapo wale wazee wa kupinga kila kitu wakija humu na kuona mazuri ya bandari yetu watasema unalipwa kusemea mema na mafaniko ya bandarin yetu ya DAR
hakika #MamaYukoKazi anafanya kazi kubwa sana tena ya kupaswa kupongezwa vinginevyo kwa sekeseke hili alafu maisha yangekuwa juu sijui tungekamatiana wapi walai toba
naona kabisa no future kwenye hi taasisi, kwanza wamejaa matapeli yani kama unaweza kumtapele dalali ambaye amekutafutia eneo la ofsi tena ambalo lina kuingizia kipato kwa miaka yote leo umuone ana maana kwa kweli wanakosea sana
Ila jamaa Wana roho ya kikatili Sana
Just imagine Mtu Kama Mimi ambaye najikwamua kiuchumii kwa kuwapatia Wateja Wangu sehem Nzuri wao wananilipa kwa kunitapeli jasho langu
Wakuu Habari....
Naombeni msaada Wa kufikishiwa Ujumbe kwa mtu yoyote ambaye yupo karibu na uongoza Wa Gazeti la MACHINGA na MACHINGA Saccos
Machinga Saccos wamenidhulumu haki Yangu, tuliingia Makubaliano ya kuwatafutia ofsi ambayo ndio wanaitumia mpaka Sasa ipo mtaa Wa idrisa Magomeni...
Umekuwa mwalimu wa lugha....!!!!
Hu ni udhaifu wa hoja ndugu,Mara nyingi watu Kama nyie mkisoma thread alafu mkaona zipo nondo mnatafuta Sasa makosa ya kiuwandishi.
Wewe Kama huna hoja pita kushoto..
Hu mpango wa polisi wa mbeya na sugu unakwenda kulichafua jeshi zima la polisi.
Na kwa Nini mapolisi mbeya wanaingia matatizoni hivi kamanda siro halioni hili??
Jeshi lake linachafuka
Huyu mama mnambebesha msalaba ambao sio wake na kwa hi move ya sugu ni mkakati ambao sugu mwenye aliupanga na huyo afande aliyemkamata.
Kwa wale wanaomjua sugu ebu tujikumbushe kule bungeni anavyo wapaga shida mapolisi.
Sasa chakushanga sugu anapelekwa kwenye kalandinga Kama mwali wa kizaramu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.