Recent content by hopeson

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    teja umekula helaaa hiyooo,weka wa 20alfu kabisaaaa,uhakika hapo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    teja junior,weka wa 20000 ule mkwanja huo,huo mkeka lazma utikiii
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    toinyoooo, bolton vs charlton wanakuharibiaaa mapeneee hayooooo,sare hiyooooo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Mada nzur ila kuna watu humu wanaitumia kama mianya ya kukejel dini za watu...(mwarab kaleta din ya KIMBWA),huu si ustaarabu na point isiyo na fact jaman,hebu jaman tuwe wenye kupevuka kwa kuchangia chenye hoja na kilichostaarabikaa na chenye kujengaa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Yohana kilimba male S0731/0753/2005 barchelor of Education in special Education Open University of Tanzania (ODL)
  6. H

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Yohana kilimba..weka na la sir name
  7. H

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Emmanuel ng'hwaje elias male s2593/0058/2011 barchelor of education in adult education and community development university of dodoma
  8. H

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Not yet bn selected,you are stil on process... Emmanuel..
  9. H

    JamiiForums Tanzania TCU warahisisha zoezi la kuona selection

    Selectn za maandagraduate Muhimbili znatoka ln aise
  10. H

    JamiiForums Tanzania Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    nzuri tu ajira zinaeleweka,hiyo kozi inahusu management, distribution (transportation) of manufactured goods(imported o exported) from different areas to other areas,so it covered a wide aspect issue in business and employment too,you need to come out with high grade to be competitive
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mkopo

    nahis kutakuaa na second selection ya mikopo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

    kawaidaa tu ktk mfumo wa maisha y bnadam,smtm kuaibika,smtm shida na mitihan kibao,raha na dhihaka,ungefunga zipu,then ungetumia autocratic method of teaching,
  13. H

    JamiiForums Tanzania Helsb na mwaka wa pili waliokosa mkopo mwaka wa masomo 2012/2013

    sijui hata ni vigezo gani huwa vinazngatiwa ktk mgawanyo wa mkopo,kuna watoto wa maprofesa tena wamesoma uganda na nchi nyngne hukoo ktk elim yao ya nursery mpaka o level,na badoo wamepewa mkopo,wale kina st.kayumbaa ndo wengi wamekosaa mkopo,sijui haki imepotelea kwenye mlango upi wa kiza
  14. H

    JamiiForums Tanzania Napendekeza: kipindi cha dini kingeondolewa mashuleni

    We qurux hebu kuwa na stara kidogo,laiti ungalijua neno gaidi lina uzito gan usingalithubutu kultamka hvoo tena kwa kultaja sanjar na uislam,huijui vzur dini na chmbuko lakee,mana sshangai kwa dini hz kuwa na chuki baina yao wakat historia inaonyesha wazwaz kuna chuki na vita mbalmbal za kiiman...
  15. H

    JamiiForums Tanzania ..na course yangu ya priority nimekosa mkopo

    mmh,dit?,itakuwa kuna makosa uliyafanya kwenye kujaza form zao japokuwa mkopo smtm bahati ya mtu,mi nahs huwaga wanapiga ana ana do.. Kuchagua wapatao mkopo sdhan kama wanazngatia vgezoo
Back
Top Bottom