Recent content by hopera

  1. H

    JamiiForums Tanzania Amenisaidia mengi lakini,simpend hata kidogo

    Sijaelewa kitu kimoja,huyo baba alikuwa anakusaidia kama nani,na what happen had ukahitaji msaada wake,ulipokuwa unapokea misaada hukujua nia yake? No free lunch ma dia,otherwise ni baba ,kaka au ndugu yako...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Maalum kwa wadada wote ambao hamjaolewa

    Mh!Wanawake tubadilike jamani,zama za kutegemea men kila kitu zilipitwa,tunadai haki sawa zipo wapi,what are u studying for,maisha ni kusaidiana,tusifanye kuoa iwe badden,money is nothing what matters is love na kuelewana. Kama mm ni man nakupitia mbali mwanamke wa dizain hii...
Back
Top Bottom