da yani kwa hili mtikila we nishujaa wangu mimi baada ya kugundua hivyo siitaji katiba mpya kwa sababu naamini haitakua na tofauti na hii ya sasa labda rangi ya nje badala ya zambalau inaweza ikawa ya kijani au njano,we katiba iandikwa na chenge,lowasa,wasila,mwigulu,kigwangala,ndugai unategemea...
hii ndio "taifa la kondoo kuongozwa na dubu"hivi unadhani kodi ikiwa kubwa kwa mfanya biashara gharama za maisha sitashuka?hivyo vijisenti vyako wanavyokubakishia kweny taki om ukilipa maden kwa mangi vitakua havifiki hata tarehe tano we unadhulumiwa baada utafute suluhu unatamani kuona na...
wazee feki,vijana feki watoto feki wanaunda "feki nation"we unajua matusi?huangalii Tv? uone vijana wa kitanzania wanavyojianika uchi kwakujiita video quin huku wazee wanatazama na kufurahia kama mazuzu?
kusoma hakuongez akili za mtu,labda maarifa japo unaweza ukasoma bila kupata maarifa,kwang ZZk ni mtu mwenye akili ndogo na hii taarifa ndio inadjihirisha hivyo,alidanganywa akadanganyika waliomdanganya wako kazini ye kwasababu ubongo wake mdogo akaona ni kete ya kisiasa kikowapi sasa?
kwangu membe ni miongoni mwa viongozi vibaraka anaeamini sana kua maendeleo ya nchi yatatokana na huruma za mataifa makubwa,membeni mtu mkorofi ambae hanastaha anapenda ubabe naamini km yeye ndie angekua rais (this time)tungeshapigana na ndugu zetu wa malawi, na rwanda.membe si mkubali hata kidogo.
mwenye kufikiri zaidi atagundua haya mambo ni yakutengenezwa kwa faida ya watawala kwani,ukweli ni kwamba ktk ulimwengu wa kibepari nchi haiwezi kusonga kimaendeleo km hakuna vyama imara vya upinzani,serikal nyingi dharimu zitafanya kila liwezekanalo kudhoofisha upinzani ili waendelee(serikali)...
Enyi ndg zangu acheni kulala amkeni,jifunzeni mambo mpate maarifa fikirini mala mbili kabla ya kusema kitu na tumieni akili mlizo nazo kwa manufaa yenu na vizazi vyenu,Jiulizeni je kwa kua Lusifa alikua malaika mkuu baada ya kuasi Mungu alikosea kumfukuza Mbinguni?
mi kwa mtazamo wangu sion sababu ya kuzungumzia kodi issue ni kwamba nchi ya pili kutoka mwisho kiuchumi duniani inaweza kulipa mishahara ya kima hicho kwa viongoz wake?au tuite hujuma ya ccm dhidi ya makabwela(wakata mkaa na walina hasali wa Tz).amka mtanzania ccm ni janga,mbona hamuelewi au...
serikali hii ya ccm inakili kuwa imeshindwa kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja,sambamba naukuaji wa uchumi wa nchi kitakwim,swali ni kwamba itawezaje kukuza uchumi wa watu huku haitaki kuboresha mifumo ya uzalishaji mali?mfano tatizo la maji linalowakabili wananchi,huku kukiwa teknolojia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.