Recent content by Hoody2

  1. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    Dodoma maeneo gan kaka anywa takubunda na 3-4-2-1
  2. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    umaskini unakusumbua kijana ukipata utaachana na burudan za watu,***
  3. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    umaskin tu wamsumbua
  4. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    Asante mkuu,kuna chokoraa moja wa tandale apo alikuwa amejibu fyoko
  5. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    Pesa ninazo,thats why ninapata muda wa burudani pia KAPUKU WEWE
  6. H

    Msaada: Kupiga shuti la Mzungusho kwenye PS3

    Kwa anayefahamu namna ya kupiga shuti la Mzungusho kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi.
  7. H

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Kupata huyo mbanga ndo kipengele maiki
  8. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    catherine,mtoto wa kingoni+sambaa namuombea dua kwa mungu
  9. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    Mrejesho,nimefanikiwa kupeleka barua ya posa
  10. H

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Dah hadi muda umeisha na sijafanikiwa kutuma na nimekula hasara 10,000
  11. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    Uwe unapitia comment zote mkuu anyway nshampata
  12. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    nashukuru mkuu nimejarb kuvta kumbkumb nikakumbka ni kama maeneo haya or karibu na hapa kwenye hi ramani mana ni kama nilipaona pia
  13. H

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    ni kweli mkuu tatizo nilika mda mchache tu yani nilihifadhiwa tu usiku ule na asubuh watoto(2) ndo wakanipeleka mpaka stend ya pale ruhuwiko kwa mguu tulitembea kama dkk 5-10 hv kwani nilikua sina ramani na nlikua naelekea kwenye kozi 842 kj mlale
Back
Top Bottom