Recent content by HONGORI

  1. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    niliwanunuwa kwa 1m each wakiwa na uja uzito
  2. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Hizo factors of production zote nimeziconsider ila hamna kitu ila mm nawasiwasi na hawa ng'ombe kwani nilifanya research kuhusu ng'ombe wa Ubungo na nikaona watu wanasema huwa hawafanyi vizuri sana. Na wengine wakasema hao ng'ombe wanaoletwa pale huwa wanakasoro fulani fulani za milk output...
  3. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Niliwanunua hao ng'ombe pale Ubungo DAr es salaam ila sikumbuki umri wao ila wakati na wanunua mmoja alikuwa mtamba na mwingine alikuwa amezaa mzao wa kwanza huko alikotoka ilikuwa (december 2011). mbaka sasa yule mtamba amezaa mara mbili na yule mwingine amezaa mara tatu lakini bado rate yao ya...
  4. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Shukrani mkuu!!!!!!!! Hivyo vyote ulivyosema nilisha fanya na wala sikuona any changes. labda hii breed yake sio freshian halisia maana ni 2years sasa toka niwanunue pale Ubungo. yaani mkuu imefika wakati nataka niwabadilishe na nianze upya! ishu inakuja nitawapata wapi cattle diary ambao ni...
  5. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Mkuu nimesikia habari kuhusu FLECKVIEH wanastahimili mazingira ya EAst africa , lakini makao makuu yao yapo Kenya sasa sifahamu utawapataje hao ng,ombe na cost zake zipoje. Please give more Information hata namba zako za simu mkuu!!!!! Je kuna mtu yeyote anaewafuga Tanzaniaatupe datails zao
  6. H

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Habari wapendwa wana Jf !!!!!!!!!!!!!! Mimi nina ng'ombe wangu wawili aina ya freshian ni wanunua pale ubungo lakini wanatoa maziwa kidogo sana 3 litres per day kwa ng'ombe mmoja. Hawa ng'ombe wanapatiwa chakula bora na suppliments mbalimbali. je hawa ng'ombe wana matitizo gani...
  7. H

    Nisaidieni jamani!!!!!!!!

    nashukuru!!!!!11 Aina ya ng'ombe ni freshian
  8. H

    Nisaidieni jamani!!!!!!!!

    Habari! Mimi nina ng'ombe wawili wa maziwa( freshian) niliwanunua pale ubungo dar , chakushangaza hawa ng'ombe wanatoa maziwa kidogo kiasi 3 litres per day each lakini wanapata malisho bora kabisa.Msaada toka kwenu wakubwa!!!!
Back
Top Bottom