Recent content by Honeybees

  1. Honeybees

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Yes kama side hustle, Ila kazi yangu ni Software development.
  2. Honeybees

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Hello mkuu, nimekutumia mawasiliano
  3. Honeybees

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Asante mkuu
  4. Honeybees

    JamiiForums Tanzania Kama kungekuwa na Press Button ya kuanza maisha Upya. Ungebonyeza?

    Kwan at this stage kipi kinakuzuia kubonyeza button, hayo maisha unayowish ungeyaishi ndo uanze kuyaishi sasa 🤣. Hapo utakuwa umebonyeza button
  5. Honeybees

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Kwa full stack web applications natumia Next.js. Kama kuna uhitaji wa separate backend API, naiandika kwa FastAPI au Node.js. Kwa mobile nafanya project ya SwiftUI from requirements stage hadi app inaingia App Store. My stack: Frontend: React/Next.js Backend: FastAPI/Node.js Mobile: SwiftUI na...
  6. Honeybees

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Hello bosses, Natumai mu wazima, na wagonjwa Mungu awajalie afya njema. Napitia mabadiliko makubwa maishani mwangu. Nilijiunga na kampuni fulani ya logistics mwaka jana kabla sijamaliza chuo. At first maisha yalikuwa mazuri sana; salary na bonuses. Ila kadiri muda ulivyoenda employees tuliona...
  7. Honeybees

    JamiiForums Tanzania Tunauza Asali Mbichi

    Karibu boss
  8. Honeybees

    JamiiForums Tanzania Tunauza Asali Mbichi

    Tunapatikana Mabibo boss, karibu na chuo cha NIT. Tunafanya free delivery popote Dar. Karibu sana boss.
  9. Honeybees

    JamiiForums Tanzania Tunauza Asali Mbichi

    Habarini wakuu, Tunauza asali mbichi kutoka Tabora na Dodoma. Ni pure na filtered. Bei zetu ni rafiki: Nusu lita: 7,000/= Lita 1: 13,000/= Lita 5: 60,000/= Pia unaweza pata lita 20 na kuendelea kwa bei nafuu sana. Free delivery kwa wakazi wa Dar. Karibuni sana. Mawasiliano: +255 744 059782
Back
Top Bottom