Recent content by Hondelo

  1. Hondelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    Unataka upewe Nini mkuu,, huyo ndo mwanamke ambaye Kila mwanaume angependa kuwa nae,, labda wewe ndo mwenye matatizo sio yeye
  2. Hondelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Husband is needed

    Vigezo vyote nnavyo,, lakin pia Mimi nna vigezo vyangu vp ww uko stable financially? Hlo ndo muhim 50/50
  3. Hondelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini wake za watu wanaliwa sana misibani. Amini hili kwa 100%

    Ujinga
  4. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Caryn ni aina ya wale wanawake Wanajuaga ku adapt na mazingira, so hata misimamo yake ya ajabuajab nikwa Sabab ya aina ya uhusiano mlionao (marafiki), mkiingia kwenye huba atabadili frequency kuwa kama mke, Tena uzuri yeye ndie amekupenda kwanza, Cha zaidi caryn ana kila kitu knachompasa...
  5. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Kila unachopaswa kujua

    Faida zipo ila ni chache ukilinganisha na hasara zake, kwa hiyo ukiona katika biashara Yako hasara ni kubwa kuliko faida basi hiyo biashara haifai.
  6. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Kuvaa nusu uchi Wazungu wameiga kwetu Afrika

    Enzi nasoma sikua mpenzi sana wa somo la historia, lakin moja ya nilichojifunza ni kwamba vizazi vya kale kabla ya ukoloni hawakuwa na hiki tunachoita ustaarabu wa kuvaa mavazi kama hivi sasa, badala yake walijistiri kwa magome ya miti tena sehem muhim tuu. Baada ya ngozi nyeupe kufanikiwa...
  7. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Sema kimeumana
  8. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    We jamaa [emoji1],,
  9. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Unajua kupanga mistari broh!! Apa tukiingia studio si tunapiga ela kabsa[emoji848][emoji848],, kmbe kna mda ukiktana na watu negative ndo wanafanya uone ma uwezo Yako mengine [emoji1][emoji1],, uliyemkera huyu jamaa endelea bhna ili atushushie mistari zaid
  10. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah!!! BMX6 watu wanawehuka hku,, lete story mkuu[emoji1]
  11. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Hajasema kama hajafunga au kafunga tracker kwenye gari ya mkewe kwa Sabab hakukuwa na sababu ya yeye kumueleza hilo bwana BM X6, kilichokuwa muhim kwa wakat huo ni habari ya akina caryn na Michelle tuu, kwa hyo inawezekana kamfungia hta mkewe ila ikawa ni Siri yake mwenyewe bhna.
  12. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

    Yeah na hasa hizi brand mpya
  13. Hondelo

    JamiiForums Tanzania Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

    Ni mtazamo tuu kwa hyo sikupingi
Back
Top Bottom