Recent content by homogeneity

  1. H

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu habarini. Naomba ambae yupo kwenye group lolote active la ku discuss usaili PSRS , MDA &LGA nafasi za Trade officer na Accounts officer
  2. H

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna mdau kaonekana kwenye pdf hapo tume ya ardhi tulipiga nae February 13, 2023 sijajua katika idadi ndo kashapungua au la mana ndo wa kwanza toka tumepiga oral
  3. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Cheti cha Jkt kipo chief
  4. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mimi kozi yangu haipo kwenye kiambatanisho A ila inaendana na Tourism ambayo ipo naijaza tu kibishi wakinitema fresh
  5. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nimefanikisha kuona
  6. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nimecheki naona ufafanuzi tu kwa waombaji wa zanzibar. Au nakosea website embu iandike hapa chief
  7. H

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu mbona iyo form A na B sizioni kwenye website ya polisi?
  8. H

    Rais Samia: Watu wanakimbilia Vyeo lakini hawana uwezo wa kiuongozi. Tusitazame Vyeti tu kwani kazi siyo Mitihani

    Hivi ile wizara ya Mkuchika wanaiita "Kazi maalum" sijawahi sikia ukaguzi wake au inahusika na nini? Kwa wajuzi wanitoe tongotongo
  9. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Wakuu naombeni link ya group LA WhatsApp wanalodiscuss oral interview
  10. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Wakuu naombeni link ya group LA WhatsApp wanalodiscuss oral interview
  11. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Wakuu mwenye link ya lile group la whatsapp LA Ku discuss oral naomba aitume
  12. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Binafsi ni mara ya Kwanza kuona kazi za pccb zikitangazwa sijajua kipindi cha nyuma ilikuaje na kuna Kada tofaut usaili utakua wa namna gani? Na mafunzo Yao huwa wanafanyia wapi?
  13. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Poa mkuu ntafanya ivo
  14. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Au labda nakosea namna ya kuandika namba ya shule nin e.g Sxxx/xxxx/2014
  15. H

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Nimepambana Ila kila Niki submit inamirudisha mwanzo wakuu Hadi MDA huu nimeanza na laptop mara 3 sim mara 2 imegoma
Back
Top Bottom