Hata wale wa CCM wanaona na kuyafahamu hayo ya CHADEMA, sa we kujifanya mwana CHADEMA wakati we ni CCM hiyo so issue. Kwenye greater thinkers kama hapa we si mwana CHADEMA!
Hivyo ndivyo CCM wanavyotengeneza KATIBA yao, katiba ya 77 ilikuwa ya kichama zaidi, sa wabunge wa CCM Wakipitisha Katiba tunayotaka wananchi basi huo ndo utakuwa mwisho wao. Paga ua, Rais ni lazima asaini mswada huo kwa maslai ya CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.