Habari zenu wapendwa! Nilikuwa Nina wazo la kuanzisha biashara y uwakala w mpes na tho pesa,je nikiwa na mtaji wa ml.1 naweza kuanza?na je vip hii biashara inalipa?na ni taratibu gani nifate ili niwe wakala
Habari,wana JF?
Nilikuwa nauliza kama kuna mtu aliwahi ku-apply kazi Red Cross, kama amepata information yoyote ya kuitwa, mie ni mmoja wapo nimeona wamenitumia email, ila sijaielewa
Kama kuna mtu amepata email kwao naomba anifafanulie . Asante.
Habari wapendwa,nauza KIWANJA milion tatu,kipo shinyanga maeneo ya mshikamano..ni mjini kwa anayehitaji tuwasiliane 0718094485 au 0756517090
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wapendwa?nauza KIWANJA milion 3.5 kipo mkoa wa shinyanga maeneo ya mshikamano ni mjini.0718094485. au 0756517090.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wapendwa?nauza KIWANJA kipo mkoa wa shinyanga,maeneo ya kuzumbi,milioni 3..kimepimwa.mawasiliano 0718094485 au 0756517090 .
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.