Recent content by hnp

  1. hnp

    Kwangu mimi huyu ndio mzamiaji mwenye roho ngumu kinoma, wengine wanangoja

    Ila mabaharia wakimdaka wanamla jicho au kumtupa baharini.
  2. hnp

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bet at your own risk [emoji16]
  3. hnp

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbetie Namungo ana shinda, Utakuja kunishukuru baadae.
  4. hnp

    Klabu ya Simba imetangaza kumsajili mshambuliaji Moses Phiri

    Kwa maoni yangu wachezaji hawa wapewe mkono wa kwaheri: Wakigeni; Wawa Bwalya Kagere Mugalu Lwanga Morisson (Tayari kaondoka) Wazawa; Gadiel Nyoni Mhilu Wafuatao watolewe kwa mkopo; Mwanuke na Banda. Kulingana na tetesi za usajili, wachezaji 6 wakigeni wanaofaa ni; 1. Mosses Phiri...
  5. hnp

    Klabu ya Simba imetangaza kumsajili mshambuliaji Moses Phiri

    Dilunga na Mkude wabaki, waondoke mhilu,gadiel na mwanuke (atolewe mkopo). Bila kumsahau mzee Wawa nae aondoke
  6. hnp

    Hii imekaaje kwa wanandoa?

    Shamba la Bwana Kheri Mbuzi wa Bwana Kheri.
  7. hnp

    Kwa mara ya kwanza nitajifungia kuwaombea watani (yanga SC) wabebe kombe la asfc Ili Simba SC tucheze cafcc

    Sijaelewa mantiki ya uzi wako ilihali mshindi wa Kwanza na wapili kwny ligi wanaenda CCL.
  8. hnp

    Barbra aachie ngazi Simba kwa maslahi ya timu, wapigaji wengi ndani ya timu wanamhujumu

    Barbra yupo pale Simba kulinda na kuzisimamia pesa za MO. Atapoondoka ujue na MO anaacha kuidhamini klabu.
  9. hnp

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Basi ushaleta mgawanyiko wa kiimani katika familia yako.
  10. hnp

    Je ulitokaje kwenye kifungo cha kichawi/kishirikina?

    Nipo katika same situation naww,nimelogwa mm mpaka familia yangu yaani wazazi. Nimefungwa nisipate kazi, nisipate mtoto(nishawapa ujauzito wanawake wawili mimba 4 zimetoka),biashara 2 za familia zimekufa kimazingaombwe sana. Tumehangaika sana kujitoa kifungoni ila wapi. Nimetumia sana chumvi ya...
  11. hnp

    FT: Ligi Kuu Bara | Azam FC 1-1 Simba SC | Uwanja wa Chamazi Complex | Mei 18, 2022

    Utapakatwa we jichekeshe chekeshe tu
  12. hnp

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Asee ndo nimeona Google hiyo ndo maana yake,nashukuru kwa ufafanuzi. Ukafiri kumbe is not a big deal.
  13. hnp

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Eti katika dini pekee iliokataza ushirikina ni uislamu[emoji16][emoji16]. Hivi unajua uko duniani kuna dini ya Buddha na Hindu (ukiacha ukristo na uislamu)? Hizo dini zote umezipitia na kuona ni uislamu pekee unaokataza ushirikina? Nimeona una uwezo mdogo sana wa kujaji mambo, umekaririshwa na...
  14. hnp

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Ukristo ni ukafiri? Acha upopoma ww shwain. Hivi umewahi kutana na mganga mkristo? au jini la kikristo? Jibu hayo maswali mawili nijue una upopoma kiasi gani.
  15. hnp

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Mkuu dini sio kabila kwamba huwezi kubadili. Kingine hizi dini tumeletewa na zote zinamuabudu Mungu mmoja. Sali dini ambayo inakupa amani ya moyo. Maisha mafupi na magumu sana kuanza kuumiza kichwa uwe dini gani wakati tayari umeshaoneshwa dini sahihi ya kuifata. Kuhusu watoto ningependa...
Back
Top Bottom