Recent content by Hjalte

  1. Hjalte

    KERO Huduma ya Maji Kimara haipo tangu Alhamisi

    Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
  2. Hjalte

    Kombucha

    Ni biashara ya watu tu kwa GIA ya nguvu za kiume,ila infact haina kitu.
  3. Hjalte

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Wabongo mnajuaga taratibu za maisha ya mbele hadi Raha yaani
  4. Hjalte

    Waliowahi kuomba na kupata Visa tukutane hapa tupeane uzoefu

    Ukitaka ujue kuwa Visa siyo suala dogo,omba Visa ya Marekani halafu uwe unaenda kutembelea ndugu tu na kurudi.
  5. Hjalte

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Magari yote yanakuja kupakiza watu walio kwenye Mpango/foleni,inakuwaje yake na watu walioingia kinyume Cha utaratibu? Halafu ni madereva wote,na wafanyakazi wote,wala sio mmoja mmoja.
  6. Hjalte

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Ni Dhambi kutamani kuvunja Sheria.Fikiria Kuna wazee wa umri wa babu yako wapo kwenye foleni dakika arobaini halafu dereva anapandisha demu wake tena kupitia mlango wake na anakaa nyuma ya dereva stori ziendelee
  7. Hjalte

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Kwa vile TRA,TPA,TAA wanafanya inahalalisha jambo hili la kufanya mambo bila utaratibu? Tujifunzeni basi kujenga hoja wakuu! Mimi nimeweka ushahidi wa picha hapo,na wewe tafuta ushahidi huko TRA piga kelele ili tukomeshe huu ujinga
  8. Hjalte

    Je, ni utangazaji tu au Kuna mengine nyuma pazia?

    Punda huyo usihangaike nae,fanya maisha yako,jali familia yako,haya yatakufanya uwe maskini Bure.
  9. Hjalte

    DOKEZO MWENDOKASI: Madereva na watumishi wanavyopakiza ndugu zao nje ya utaratibu

    Kumekuwa na tabia ya hovyo sana inayofanywa na madereva pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa mabasi ya Mwendokasi, hasa katika vituo vikuu vya Kivukoni na Gerezani nyakati za jioni ambapo foleni ya watu inakuwa ni ndefu, lakini baadhi ya madereva hubakiza/kuingiza baadhi ya rafiki, ndugu na jamaa...
  10. Hjalte

    Hakuna mjadala, Visungura vinaua nguvu kazi ya vijana, havina tofauti na viroba, serikali itoe tamko juu ya mauaji haya ya makudi

    Kile Mwanza Kuna pombe inaitwa Ambiance,nyingine Shimha,yaani vijana wanakunywa halafu wanachoka kama Mzee wa miaka 70 kumbe mtu ana miaka 20 tu
  11. Hjalte

    Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

    Nilikuwa peke yangu,nikafariki,nikampigia simu akaja kunifufua
  12. Hjalte

    Nateswa na ugonjwa huu wa ajabu, msaada tafadhali

    Kuna dawa alinipa ya kumeza kabla sijalala kwa muda wa wiki siikumbuki jina,lakini kilikuwa ki-pill kidogo hivi kama pilitoni,shida ninayoaddress hapa ni Ile tatizo kuja kupotea na kuja Tena.
Back
Top Bottom