Recent content by Hiter

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    # chifu godilavu acha ungese wewe
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mafua ya muda mrefu

    Asante kwa ushauri wako mkuu🙏🙏
  3. H

    JamiiForums Tanzania Amini, Usiamini. Nimepona Magonjwa 100+ Kwa Jina la Yesu!

    #setfree mbonaa mm naomba Kila siku sipati majibu , answer me please 🙏🙏
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanaume kaoa pisi kali ujue alioa baada ya kujipata kimaisha. Wengi tunaoa kwakua tuliowaoa wanatuvumilia tunapoendelea kujitafuta

    Kwanza mm wananikataa hao mapisi Kali Bora nioe ninae fanana nae🤣
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na Wanawake wasio na pesa ni tabu sana

    Mapenzi mapenzi mapenzi kuwa na huruma😂😂
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wema bado wapo na wanaishi

    Pole mrembo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mafua ya muda mrefu

    Wakuu poleni nyote na majukumu ya leo, msaada naombeni Kuna ndugu yangu anamafua ya muda mrefu yapata Kama mwaka, alienda hospital akapatiwa dawa za allergy au mzio lakini Bado ,yani pua zinamziba sometimes anashindwa hata kuhema vizuri msaada wakuu nafanyaje hapa Sasa .
Back
Top Bottom