Dollor inazidi kupanda, life expectancy tz inazidi kushuka, kina mama wamekuwa na ckmplications nyingi wakati wa kuzaa tofauti na zamani sababu ya vyakula na tabia nchi..n.k
Lakini mtu bado anataka awe na watoto nane?!
Habari ya leo waungwana. Natumaini wote mu wazima wa afya na mko poa katika kusukuma maendeleo ya Taifa letu pendwa Tanzania.
Bila kuchoshana.
Kama tunavofahamu kumekuwa na ongezeko kubwa sana la graduate au wahitimu wa vyuo katika ngazi mbali mbali kila mwaka, hii imechangiwa na kuongezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.