Recent content by hindikwetu

  1. H

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Mhhh...sioni kosa la BBC hapo nimemsikiliza,jamaa aliyekuwa anahoji...alikuwa anafuatilia kujua ahadi ya Masha ambaye alisema ataleta ndege....haikuwa kishabiki kihiivyo.....ujue kuna wananchi walikata tiketi,so BBC hapo ni ufuatiliaji wa kawaida kihabari, ba li Masha yeye ndo alikuwa akitoa...
  2. H

    Tuache majibu rahisi katika maswali magumu.

    Katika mfululizo wa matukio mabaya ya mauaji na mengine hapa Tanzania, uchunguzi wake umekuwa ukitanguliwa na matamko mengi yenye malengo ya kupata kiki kisiasa.Hii tabia inapoteza dira kamili ya wachunguzi wa idara ya usalama,mtu anashambuliwa, watu wanauawa kama kule kiburi, mwanasiasa...
  3. H

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Hiyo duniani na mnyanga yao mbona wapo kimya,maigizo ya usimamizi wanafanyia Afrika. Mambo yetu ni si hadi wakoloni hao watusaidie na fikra kudhan wao ni kioo si kweli.
  4. H

    Dereva wa Lissu asema hana kumbukumbu vizuri kwa kilichotokea kwenye shambulio dhidi ya Lissu

    Naona tunakaribia undani wa shambulizi hili zaidi ya kile tunachotaka kuaminishwa kuwa serikali, inahusika, sisi wavivu wa kufikiri kuna watu wamejificha nyuma ya serikali,na kuifanya jalala, kama wasemavyo ukubwa jalala, ila tutajua huyu dereva na tuition yake tumuache aigize baadaye tutajua tu
  5. H

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Ni ndani ya 48hrs so hiyo sina hakika kama ni mjadala mpya nahakika Zitafika.
  6. H

    Kwanini Mh Mbowe analazimisha kuwa msemaji mkuu wa kila linaloendelea Nairobi kuhusu Tundu Lissu?

    Ila Mbowe ukianza kuwaza kuvuka mstari fulani, kuna maswali ya kumhusu katika hili maana du, kakaba kila kona kulikoni.
  7. H

    Kwanini taratibu za Huduma za matibabu ya Tundu Lissu zimetawaliwa na matamko ya kisiasa zaidi kuliko taaluma!

    Sababu ya kutafuta kiki kwa sababu utendaji wa kila siku hauna jipya...
  8. H

    Siasa za kujenga hoja hukomboa taifa

    Taifa lolote linahitaji siasa safi, ili kufikia utekelezaji wa sera zilizopo zinazolenga kujenga taifa Husika.Siasa safi daima ni ile ya kuona vyama vya siasa vikiwa busy,kutekeleza shuguli zake za kila siku ili kufikia ustawi kamili katika kujenga chama. Siasa za Tanzania kwa muda mrefu sasa...
  9. H

    Honestly,nimesikitishwa sana kwa Uongozi wa Bunge 'kutoiamini' CHADEMA

    well said kiongozi, mie sioni kama Chadema dhamana wanayojipa kwa mtumishi wa bunge TL ni halali kuhoji kwamba why michango yake ya matibabu isipitie kwao, hapo ni kuanika ngoma juani na kupigia mstari shutuma zao za awali kuwa serikali haijawajibika.Najua hata wangekabidhiwa fedha wamesema...
  10. H

    Mkutano wa leo wa CHADEMA kwa waandishi wa habari waacha maswali mengi

    MKUTANO WA MBOWE NA WAANDISHI WA HABARI UMEACHA MASWALI MENGI: 1. Inakuwaje mnasema ni suala la kitaifa lakini kujua afya yake ni siri na haki ya mgonjwa? Kama ni la Kitaifa basi Taifa lijulishwe hali yake pia ya kiafya ilivyo kiundani na sio kuliacha Taifa na maswali mengi. Let's Pray 4 Him...
  11. H

    Mbowe kupeta tena CHADEMA, ziara ya Zitto kwa Lissu ilikuwa muhimu kuliko uwepo wa Msigwa,Lema nk huko Nairobi

    Basi ni vyema tunaosoma,tukaona jinsi hoja zinavyoyeyusha hoja nyingine,kuliko mkato huu katika kinachoandikwa,ili tujue si hoja lazima kuwe na hoja,dawa ya moto si moto?napita tu nikirejea nikute uchambuzi yakinifu kuyeyusha hii hoja,tujijengee kubishana kwa hoja na si kurukiana tu...hahaha
  12. H

    Ni ajabu kuwa hadi sasa Jerry Muro hajahojiwa na polisi kuhusu jaribio la kumuua Lissu

    Tuache kunyoosheana vidole jaman uchunguzi waendelea
  13. H

    Zitto: Serikali imekopa dola Mil 500 mwezi August 2017 kimya kimya na wanafanya siri umma usijue

    Ndo hapo ni kama serikali inafungua ukurasa wa ukopaji? Hapa kakosa hoja si Zitto ninayemjua
Back
Top Bottom