Recent content by himiri

  1. himiri

    Kutomuamini Mungu ni ujasiri?

    Zote Nimesoma replies za hii thread, na nmeona kuna watu wanamuamini Mungu lakini hawawezi kutetea huyo Mungu bila mihemko na wasioamini hawawezi toa hoja juu ya astheism. Waungwana, kama humuamini Mungu ingia youtube tafuta clips za astheism na astheist utasikia hoja zao na kama unamuamini...
  2. himiri

    Nina maswali juu ya mtume Mwamposa

    Nauza tumbaku, siwezi waonesha wahanga wa kansa ya mapafu; hamtaniungisha na nitakosa wateja wapya.
  3. himiri

    Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

    Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia. My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just...
Back
Top Bottom