Huyo balozi kafanya nini zaidi ya kusimamia chama cha ccm nchini humo? kama ni balozi mjanja si angemshauri raisi wenu kuwa tunahitaji equal partnership kati ya marekani na tanzania ?au angeiomba serikali ya marekani ikishirikiana na ya tanzania kuanzisha viwanda mbalimbali ili tuweze kuzalisha...
Huu ni uchafu ambao CCM imekuwa ikiufanya siku zote, Rais kikwete tangu aingie madarakani hakuna hata alichokifanya zaidi ya kusuluhisha lowasa na sitta. kazi ya pili aliyoifanya ni kuchekacheka tu ikulu kwani huyu ni mtu asiyefahamu wajibu hata kazi yake. Mfano mzuri ni alipokuwa ufaransa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.