Recent content by hilalseif

  1. H

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    kwani itasaidia nini ukijuwa mishahara yao, wenzetu ulaya na marekani wanajuwa ya viongozi wao lakini wao hawategemei mishahara wanategemea network yao ya biashara, hawa wa kwetu wanategemea mishahara, sasa wewe itakusaidia nini kujuwa japokuwa inatokana na kodi zetu, mimi ningependa kwanza...
  2. H

    Haya huchangia Mwanaume kuwa mchovu kitandani

    kama hamna ushirikiano mambo magumu,uwongo ukizidi mambo magumu
  3. H

    Nashukuru Mungu sijapangiwa IFM !!!!

    wewe ndio kwanza umechaguliwa kuingia chuo, halafu unatukana watu, halafu wewe mwenyewe ulikichaguwa kwa course zaidi ya tatu, halafu wewe unatuambia ni institute of failures management, inatuonesha kwamba hata wewe ni failure ambaye matokeo umeyapata kwa sababu kuna mtu baraza la mitihani katia...
  4. H

    Ustaadh akamatwa!!!

    kwanza nataka nikusifu kwa upeo wako mkubwa kuweza kuunganisha mawazo,matendo ya nyumbani na nje ya nchi, leo kanisa linatakiwa lilipe fidia kwa ajili ya makosa ya mapadre kuwanajisi watoto wa kiume, mimi nilitegemea mapadre na dini yao nzuri watakuwa wametakasika, lakini wao ndio wanaoongoza...
  5. H

    Ustaadh akamatwa!!!

    watu watapinga, watu watatetea, je niulize imeandikwa kabaka, je kukubaliana ndio kubakana moja, huyu kisichana alikuwa anataka nini saa nne usiku, huyu msichana ana umri wa miaka mingapi, kule uingereza mtoto akifika miaka kumi na sita mtu yoyote anaweza kumpiga nao kama watakubaliana, je huyu...
Back
Top Bottom